Thursday, December 8, 2016

67.Bwana Uliyewaita


Bwana uliyewaita
Watakatifu wako,
Wawe mitume, wachunga,
Walishe kundi lako;
wanyonge na wenye hofu
Wakawa mashujaa,
Na wapole wa kunena
Wasiwe kunyamaa.

Hata leo wawataka
Watakatifu wako,
Nawe wauliza tena
Ni nani aliyeko
Atakaye nimtume
Afundishe vijana?
“Ni tayari, Bwana wangu,
Nitume mimi Bwana.”

Nitume na mimi, Bwana
Kama ulivyotumwa,
Habari ya msamaha
Na dhambi kutubiwa,
Niwahubiri wakosa,
Na waliopotea,
Wokovu u wake Bwana,

Aliyewafilia.
Astahiliye hapana
Kutamka habari,
Lakini wewe waweza
Kutufanya tayari.
Neno lako tulijue,
Tupe na roho yako,
Hayatakuwa ya bure,
Haya maneno yako.

6 comments:

  1. ni tayari bwanaangu nitume na mimj bwana

    ReplyDelete
  2. ☘️Hello!!! How are you doing?☘️

    My name is MATHEW FILBERT, I am currently studying Online bible course at ZION CHRISTIAN MISSION CENTER which is under NEW HEAVEN AND NEW EARTH CHURCH.

    I have found that the teachings are so good, and their doctrines is based only on the bible itself, no additional of human thoughts in the word (commentaries)..Rev 21:18-19, Prov 30:6

    This bible course is good for anyone who want to know the perfectly will of God, know exactly about Jesus second coming.

    Bible is the spiritual Map that everyone should understand and know where is The kingdom of heaven and do according to what bible says.

    In whole Bible course, there is:
    1. ELEMENTARY LEVEL: Learn the basic teaching of the Bible
    2. INTERMEDIATE LEVEL: Parables and God's History of the Bible for 6000 years
    3. ADVANCED LEVEL: Learn each Verse of The book of Revelation (Rev 1-22)

    NB: It is online free bible course and it is taught LIVE through Zoom app
    It is 3 times a week, Morning or evening. Each class is 2:30 hours.

    REV 22:17 "The Spirit and bride says: Let the one who is thirsty come, and let the one who wishes to take the free gift of The water of Life"

    Are you interested???
    Contact: WhatsApp 0629288201
    ��������������������

    ReplyDelete
  3. Mungu awe nanyi kila wakati

    ReplyDelete